Oya we unajifanya ah, unajifanya mtu wa dini mchana
Usiku kidimbwi unagombania mabwana
Unajifanya haujatumika msichana
Sa nimechomeka sa mbona haijabana
Oya wee! (We malaya tu kama malaya wengine)
Oyaa wee! (We utumbo tu kama utumbo mwengine)
Aah! Snichi sio mwana, mwana sio snichi
Nikiwa nae shemu kumbe nkiondoka sweet
Viushauri penzi langu kunipatia
Kumbe kwa nyuma bebe yangu unaivizia
Wee snichi tuu kama masnichi wengine
Oya wee! (We kuwadi tu kama kuwadi wengine)
Unajifanya upendi waganga unapenda masheikh
Kujifanya dogo janja kama ujabalehe
Kumbe wewe na mimi wote walewale
Tofauti mganga wako wa buza wangu wa tandale
Oya wewe (we mchawi tu kama wachawi wengine)
Oya wewe we ni mwanga tu kama wanga wengine
Unaheshimu ramadhani unazini shabani (tooba)
Mchana stara usiku viwanjani
Sa mahubiri yako unamuhubiria nani
We na mimi woote kesho motoni
We shetani tu kama shetani wengine
Oya wewe we firauni tu ka firauni wengine
Asa nikilewa bwi! Msiniache mnibebe
Nikiwa tungi bwi! Msiniache mnibebe
Nikivesha bwi! Msiniache mnibebe
Nikipuliza bwi! Msiniache mnibebe
Aya nibebe nibebe nibebe nibebe
Nibebe nibebe nibebe nibebe
Oya kwenye ofa za bia msiniache mnibebe
Mkienda viwanja msiniache mnibebe
Wanangu wasafi fest msiniache mnibebe
We kwenye vibe msiniache mnibebe
Haya nibebe nibebe nibebe nibebe
Nibebe nibebe nibebe nibebe
Sawa niite chizi mwendawazimu wewe apo msukule (kule)
Kama ulikula changu kwa simu jua akiendi bure (bure)
Niite chizi mwendawazimu wewe apo msukule (kule)
Kama ulikula changu kwa simu jua akiendi bure (bure)
Hasa muda wakulipa (lipa), muda wakuchojoa (chojoa)
Muda wakulipa (lipa), muda wakuchojoa (chojoa)
Dada muda wakulipa (lipa), muda wakuchojoa (chojoa)
Muda wakulipa (lipa), baba muda wakuchojoa
Nilipotoka mwenye nyumba kanivurula
Kanipandishia kodi ghafla kwa dharura
Nilipotoka mwenyenyumba kanivurula
Paka nahisi joto kama kusaula
Saa na wewe saula sasa mwanangu saula sasa (saula)
Saula sasa nione saula sasa (saula)
Saula sasa wanangu saula sasa (saula)
Saula saaa ivue saula sasa (saula)
Oya wakilewa wao wana vibe tukilewa si tuna stress
Saa nawanywea pombe niwashe gongo kudadeki
Oya wakilewa wao wana vibe tukilewa si tuna stress
Saa nawalia kitu niwashe moto kudadek
Niwashe nsiwashe (washa)
Wanangu niuwashe (washa)
Niwashe nsiwashe (washa)
Wahuni niuwashe (washa)
Nauliza niwashe (washa)
Ama nsiwashe (washa)
Machizi boti niwashe (washa)
Ama ni si (waa)
Comentarios
Deja tu comentario: