It’s a new day baby wake up utachelewa kwenda kazini eeh
Kwanza nasema nipe mara moja mbili tatu nasema tena nipe
Mara moja mbili tatu tafathari baby nipe mara moja mbili tatu
Cunipee cunipee kwanza nasema nipe mara moja mbili tatu
Nasema tena nipe mara moja mbili tatu tafathari baby nipe mara
Moja mbili tatu cunipee cunipee kwanza nasema nipe mara moja
Mbili tatu nasema tena nipe mara moja mbili tatu tafathari baby
Nipe mara moja mbili tatu cunipee cunipee
Mi ninampago leo leo tundunda nawe tulipatana juzi na katiba
Tuchasoma ukanipenda nikakupeda mtaani nishaigizia nawe
Picha tuchapigwa kila mtu anajua wewe ni wangu eeeh pete
Kufa kupona tushaapa tusiachane milele daima dawamu watani
Wananiita kipaza sauti ni nyimbo moto ninazoiba mapenzi moto
Nishakupa mziki tushacheza nawe weh queen sema jina langu
Boss baby wah nguvu ooh
Kwanza nasema nipe mara moja mbili tatu nasema tena nipe
Mara moja mbili tatu tafathari baby nipe mara moja mbili tatu
Cunipee cunipee kwanza nasema nipe mara moja mbili tatu
Nasema tena nipe mara moja mbili tatu tafathari baby nipe
Mara moja mbili tatu cunipee cunipee
Ati maisha raa twende Mombasa tukakure raa sahau shida
Ni kwa muda darling naamini kwa utaratibu Dodoma Tanzania
Tutakueda Kampala Zimbabwe kote kote please please baby girl
Cheza kaa wewe wacha kukazia mmh
Kwanza nasema nipe mara moja mbili tatu nasema tena nipe
Mara moja mbili tatu tafathari baby nipe mara moja mbili tatu
Cunipee cunipee kwanza nasema nipe mara moja mbili tatu
Nasema tena nipe mara moja mbili tatu tafathari baby nipe
Mara moja mbili tatu cunipee cunipee
Comentarios
Deja tu comentario: