Uso Unasigiziwa

Uso Unasigiziwa

KingsMainaMSsteve

Amenisimamisha kizimbani potelea mbali gerezani
Milele roho chafu wachakudaganya mie mla watu fisi mtapeli
Wa penzi lako mtu ni tambia igali sambamba eeh uso uso unausigizia
Nini hivyio baby usiniache, siku zote unipede tujegane mimi niwe maji
Yako unichotage wewe uwe gari langu nikuedeshe hadi uzeeni
Mi stima nieke mbali na maji eeh

Mola malaika mola malaika walimwegu mko wapi
Kusema ukweli uso wangu unasigiziwa unasigiziwa eeh
Nitalia na nani ooh

Nitalia nitalia eeh nani atakaenipeda kwa dhati aje anitulize
Moyo niwe mali yake anitawale tena niwe vazi lake
Anivalie, chozi likitirika mengi nimejionea jah anayenijua
Nimelala sakafuni sema maumivu kwa wingi ukweli wa mambo

Mola malaika walimwegu mko wapi uso wangu unasigiziwa
Unasigiziwa eeh nitakufa na nani ooh nitalia nitalia eeh nani
Atakaenipeda kwa dhati aje anitulize moyo niwe vazi lake
Anivalie tena niwe mali yake anitawale milele mimi niwe wake eeh

Nikamue mooh nikupe maziwa siku zote tena nikamue
Meeh nikupe mborea siku zote nikamue mooh nikupe
Maziwa siku zote tena nikamue meeh nikupe mborea siku zote

Uso Unasigiziwa

Comentarios

Deja tu comentario:

Artistas más populares

Top artistas del momento

Reportar letra