William Ruto

William Ruto

KingsMainaMSsteve

William Ruto William Ruto William Ruto nimekuita mara ngapi
Wewe ni wetu mimi ni wenyu wakenya wote ni wenyu tunakupeda sana
William Ruto William Ruto William Ruto nimekuita mara ngapi
Wewe ni wetu mimi ni wenyu wakenya wote ni wenyu tunakupeda sana

Mzee na kazi baba wa taifa maedeleo tunayo tunajuvunia kuepo kwako
Asubuhi nikiamuka humuombea sana William Ruto abarikiwe
Naibu wake pia abarikiwe siku nyingi duniani Ruto kasema
Ni vyiema kupea mifugo chanjo faida kwako wewe mkulima
Kama umejega nyumba kwa bei nafuu nani mwingine kama wewe
Akuna umetujegea mashule mabalabala amani ya wakenya
Umetuletea mambo mazuri ya sha karo umepunguza watoto
Wanasoma vizuri nani mwingine kama wewe akuna

William Ruto wewe ni mzuri ubagui wewe ni wa kabira
Fulani umetoka wapi unfanyaga nini unatupeda sote kama wakenya
Kitu kimoja kama ni pesa unagawanisha vizuri tunajuvunia wewe baba wa taifa
Ata walale waamuke waseme ubaya wako mimi nitakupeda nitakupeda
Zaidi ya Jana Ebu taazama furaha ya wakenya ukieda Mombasa
Wanasema William Ruto tosha Nairobi Nakuru na country zote za
Kenya tumeugana tunasema William Ruto tosha mambo mazuri
Huchukua muda tumpe nafasi tafadhari

Walisema agusha bei ya sukari umeangusha wakasema agusha bei
Ya uga umeangusha mafuta pia umeangusha nani mwingine kama wewe akuna
Mtu ni William Samoe Ruto
Mtu ni William Samoe Ruto
Mtu ni William Samoe Ruto

William Ruto

Comentarios

Deja tu comentario:

Artistas más populares

Top artistas del momento

Reportar letra